Hii picha inaongea mengi

Mhhh! Hiyo picha kwangu inaongea mno; JPM ame cool sana, hataki kuwa mnafiki, hao Ex presidents wamemsababishia majeraha sana.
Vv
 
Kwa ni i Mikono ya Magu haijamshika mzee Mkapa? Wala hana tabasamu
 
Mzee Malecela kavaa herini tena rangi za CCM.

Ni utamaduni wa Kigogo mwanamme kuvaa herini au ndiyo shughuli za wajukuu? Au ni ubunifu wa Anna Kilango? Or is it Le Mutuzzzz?

Le muzeeez.
Sio herin....angalia kwenye shavu karibu na lips kote kuna reflection flan ya hiyo rangi ya kijana sema sikion ndo imekoza bt sio herin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…