grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,015
- 5,664
Kumbe tupo wengiSIJAELEWA KITU MKUU
[emoji1] [emoji1] fafanua kidogo mkuuKachabali!
[emoji1] [emoji1] dah! Maombi muhimuKatererooooo bukoba/kagera girl type.
Mtoa mada kusema Kweli siendi mbinguni.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ufalme wa mbinguni unakusubiriMi naona jamaa kafanya BOMBARING (ofcoz, ni badala ya WAYARING), ukutani, sa bomba limepasuka anajaribu kuzuia maji kwa kuziba tobo na vidole....
Does that mean nami siendi mbinguni?
[emoji1] mkuu toa elimu kama hautojaliHiyo picha haina maana yeyote kwako, under 18...tehteehh
Yesu ni maji ya uzimaKama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nimejaribu kuumiza kichwa kujua hii picha ina maana gani nimeshindwa nimeona niilete huku najua nitapata jibu haya kwa aliye elewa tafadhaliView attachment 860404
Image inatengeneza kichwa cha chui(Leopard head) si lazima kila kitu kitafsiriwe kama wengi waliocomment. Ndiyo maana thread haijamaliza hata siku, lakini imejaza page.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nimejaribu kuumiza kichwa kujua hii picha ina maana gani nimeshindwa nimeona niilete huku najua nitapata jibu haya kwa aliye elewa tafadhaliView attachment 860404
Dah! Hata hiyo form 3 sijapita nimeishia la saba mkuuHukusoma photograph reading and interpretation form 3...????