Hii Picha Ina Tafsri Gani??

Jamni JJ una kifua kizurii!!! Naomba baada ya hukumu nikakilalie ili niondoe stress, manake laah, roho inandunda!
 

- Vipi presha
- Mnyika una mchumba?
 
Ina tafsiri huyo mama Anajipendekeza kwa kijana Mnyika.
 
Sio siri,,tabasamu la huyu mama Hawa liliua! mwenye contacts zake tafadhali anipe
 
Wagombanao ndio wapatanao! Huyu Mama kiukweli hana bifu na Dogo Janja! Hii kesi ni vijimambo tu!!Hata waheshimiwa Majaji walishaliona hilo ndo maana wakawekwa pamoja! Nia ni kuondokana na uhasama baada ya kilio cha mkosaji kusikika! Utaona hata hao Waheshimiwa Majaji hawakutoa kibano kwa aliefungua kesi akashindwa kuthibitisha madai alipe gharamaza kesi hiyo! Demokrasia ina gharama zake! Sisi wadau tusichochee bifu ziendelee! Tuijenge Ubungo sasa!Maslahi ya Nchi kwanza! Bora hata hao wamemalizia dukuduku zao kwenye vyombo vya Haki kuliko wale wanaokwenda maporini kuwaumiza na wasiohusika! Gharama zake huwa ni kubwa zaidi! Kila jambo ni Shule muhimu kwa yajayo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…