Hii picha ina tafsiri gani?

Hii picha ina tafsiri gani?

Kyampisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
266
Reaction score
187
Ni huko China kwenye mkutano wa G20, Putin & Obama.
1473189307717.jpg
 
Yaani huyu andunje ndio anatusumbua hivi ? Sijui nimkate katafunua ? Ila bahati yake yuko na mkewe pembeni naheshimu sana wanawake ,Hamna lolote kujitetea tu anajua moto wa Putin angemfanya mfupi ndani ya sekunde kwa kuvunja hiyo milonjo
 
putin yupo tayari kumzimisha huyo chotara muda wowote kikinuka cheki position ya mkono

hapo diaphragm ya obama ni halali yake lakini pia throat na kidevu cha obama ni hlali ya putn
 
***** ******** ********* *******
 
Back
Top Bottom