anti-Glazer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 291 Reaction score 484 Jun 25, 2023 #1 Jamii imekengeuka sana Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti.. Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba? Nauli kutoka kwenye kamshahara. Kodi za nyumba kutoka kwenye kamshahara?? Mbona maafisa wanapewa posho?? Kwan hawana mishahara? Atokee basi mwenye huruma azingatie mahitaji ya walim wetu ni porojo tu zinawajaa. Wapeni basi mikopo isiyo na riba mikopo ikifika halmashaur, inapigwa siasa. Ualimu unawatesa Sana walimu
Jamii imekengeuka sana Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti.. Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba? Nauli kutoka kwenye kamshahara. Kodi za nyumba kutoka kwenye kamshahara?? Mbona maafisa wanapewa posho?? Kwan hawana mishahara? Atokee basi mwenye huruma azingatie mahitaji ya walim wetu ni porojo tu zinawajaa. Wapeni basi mikopo isiyo na riba mikopo ikifika halmashaur, inapigwa siasa. Ualimu unawatesa Sana walimu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,941 Reaction score 136,685 Jun 25, 2023 #2 All Government teachers should work under minimum stress, if they want to archieve their economic goals. No way out.
All Government teachers should work under minimum stress, if they want to archieve their economic goals. No way out.
anti-Glazer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 291 Reaction score 484 Jun 25, 2023 Thread starter #3 Kazi kwelikweli
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,251 Reaction score 11,444 Jun 25, 2023 #4 Maticha again Hakuna mtu atakuja kupigania haki zako, nasema hayupo Jipiganieni wenyewe kupitia vyama vyenu, mtapewa mnachotaka Nyie endeleeni kuvaa mikadeti imepauka pauka balaa
Maticha again Hakuna mtu atakuja kupigania haki zako, nasema hayupo Jipiganieni wenyewe kupitia vyama vyenu, mtapewa mnachotaka Nyie endeleeni kuvaa mikadeti imepauka pauka balaa
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,412 Reaction score 4,878 Jun 25, 2023 #5 Mpwayungu Village
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,503 Reaction score 27,811 Jun 26, 2023 #6 Mpwayungu Village