Hii picha imenifanya nihuzunike sana lakini pia imenipa kufikiri sana!

If you stick your nose in other people's affairs,you get what you deserve haijalishi una wategemezi or what. Kwan ulikuwa hujui kama unategemewa? Hiyo siyo excuse ya kuwa mhalibifu.
 
Binamu zake Ridhiwani Kikwete (Wakwere) ni waharibifu mno, wao kila kitu ni kuua tu kwa manati, cha kushangaza wala hawali huyo ndege. Wanaua na kumcheka kuwa lione kwanza, kelele tu tumeliua hilooooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom