Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Nimekukamata Salamander.Watoto wa uswazi hawana dogo.
Nimekukamata Salamander.
Kilichokuchekesha mwamvuli
Dogo anawaza akikua one day nae avae kama ivyoMwangalie huyo dogo, ameweka kidole mdomoni halafu kmkodolea macho jamaa, sasa sijui anafikiria nini hapo!
Kama unavyowajua madogo, dogo itakua anakitaka(amekitamani) kidubwasha kilichopo mdomoni mwa huyo mwenye njanoMwangalie huyo dogo, ameweka kidole mdomoni halafu kmkodolea macho jamaa, sasa sijui anafikiria nini hapo!