Hii pia lazima ipite TACAIDS? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii pia lazima ipite TACAIDS?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kottler Masoko, Jan 8, 2011.

 1. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habarini za shughuli washikadau wa Jf!
  Ndugu yenu nimepata International wadau wanataka kupatner na local NGO ktk kufanya AIDS awareness and prevention campaigns,sasa mimi nimeonelea niwape dili wavuja jasho wenzangu(small local NGO)badala ya kupelekea mafisadi.
  Swali langu ni kwa kufanikisha lengo la hawa wadau ni lazima wapitie TACAIDS kwanza au naweza kuwalengesha directly kwa hizi taasisi kama SHDEFA,AYA,ISHI na nyinginezo?
  Natanguliza shukrani kwa wachangiaji wote.
   
 2. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  It is a well known multinational construction company that had won a 1 year tender in TZ and the project will be starting so soon, in our business meeting they (PM and HSE) also informed me of their idea and fund availability,hence, asked for help to guide them on this particular social support and essentialy for AIDS epidemic awareness and prevention.
   
Loading...