Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Wadau naomben ushari nn chakufanya maana naona sasa nimesha kuwa mtumwa kwa hela zangu mwenyewe hii pc nilinunua mpyaaaa kabisaaa nikawekewa vitu nilikuwa hadi na furahia kuna kipind ikawa kama vile naletewe matangazo hv hasa nikifungua apps ina taka ni allow kwanza nilivyoona mizingua ming nikamua kushusha window nika weka nyingine sasa hii niliyoiweka ndio imenifanya niwe mtumwa pc ni nzito hata kuriko unavyojua ww yaaan ni nzito ya hela yote nikizimia na direct switch ikitaka kuwaka lazma iniambie automatic repar yaaan hii imekuwa kama.chai na chapat 2 inshort imekuwa kama kawaida nimechoka akili yote imechoka sijui pakuanzia wala pakuishia ili laptop yangu iwe kama zaman iwe nyepes icheze magemu mpaka nilikuwa nafurahia na moyo wangu.