Hii PC sasa kwangu imeshakuwa mzigo imenishinda

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Wadau naomben ushari nn chakufanya maana naona sasa nimesha kuwa mtumwa kwa hela zangu mwenyewe hii pc nilinunua mpyaaaa kabisaaa nikawekewa vitu nilikuwa hadi na furahia kuna kipind ikawa kama vile naletewe matangazo hv hasa nikifungua apps ina taka ni allow kwanza nilivyoona mizingua ming nikamua kushusha window nika weka nyingine sasa hii niliyoiweka ndio imenifanya niwe mtumwa pc ni nzito hata kuriko unavyojua ww yaaan ni nzito ya hela yote nikizimia na direct switch ikitaka kuwaka lazma iniambie automatic repar yaaan hii imekuwa kama.chai na chapat 2 inshort imekuwa kama kawaida nimechoka akili yote imechoka sijui pakuanzia wala pakuishia ili laptop yangu iwe kama zaman iwe nyepes icheze magemu mpaka nilikuwa nafurahia na moyo wangu.

IMG_20200925_174631.jpg
 
Acha tu ndio nimesha ligongomoa tena alipiga window na hs naye poor maana window ilikuwa inataka activate jamaa akaniambia itatulia tu
 
Acha tu ndio nimesha ligongomoa tena alipiga window na hs naye poor maana window ilikuwa inataka activate jamaa akaniambia itatulia tu
Tafuta window 10 version ya kuanzia 1507, 1511 n.k zile za zamani kabla ya 2018 then apply on your PC Kama tu unatumia ya kizamani(na maanisha yenye cpu yenye uwezo mdogo).

Kama unatumia mpya tafuta version ya 1803 +++ after 2018 n.k. Hizi zinakula CPU + RAM. So huenda umepachikiwa kitu ya aina hiyo huku pc sio ya kisasa.

Sometimes ukipiga windows kwenye pc bila uangalifu hata battery itakuwa inaisha faster so be carefully na huyo fundi wako.
 
Tafuta window 10 version ya kuanzia 1507, 1511 n.k zile za zamani kabla ya 2018 then apply on your PC Kama tu unatumia ya kizamani(na maanisha yenye cpu yenye uwezo mdogo)...
Kuhusu pc ni hp notebook 7th generation core i 7 RAM 8 STORAGE 500GB AMD7
 
Tafuta window 10 version ya kuanzia 1507, 1511 n.k zile za zamani kabla ya 2018 then apply on your PC Kama tu unatumia ya kizamani(na maanisha yenye cpu yenye uwezo mdogo).

Kama unatumia mpya tafuta version ya 1803 +++ after 2018 n.k. Hizi zinakula CPU + RAM. So huenda umepachikiwa kitu ya aina hiyo huku pc sio ya kisasa.

Sometimes ukipiga windows kwenye pc bila uangalifu hata battery itakuwa inaisha faster so be carefully na huyo fundi wako.
Sasa hv ina show black screen au disk ndio kwisha habar yakee
IMG-20200925-WA0017.jpg
 
Ningepata model ya pc yako ningefanya determination but I'm can't conclude that problem can be caused by HDD failure, but may be in some cases
Je nitajuaje kaka HDD imefail ??? Cha kwanza je window ikiwekwa na hajawa activated ina weza sababisha pc kuwa nzito???
 
Model si hii hapa ay 137 au cyo hii au na weza tafutia wapi hoyo model nikutumie uone
Sikuiona model yako, hata hivyo bado nina mashaka na hardware zilizomo but tungepata solution nzuri kama unge tafuta mtu karibu mwenye uwezo mzuri wa kitaalamu kwenye hayo maswala huko tanga.

Otherwise jaribu nilichokuambia kuhusu windows pale juu, don't pay for hardware first and your specs bado hazishawishi.
Ni hayo tu.
 
But before ilikuwa inapiga kaz sanaaa tu yaan fresh hadi magame inaplya hadi nilikuwa najiona jembe tatzo kutaka kujua kupiga window tukanyonya window ya muhun kwenye flash then tuka ipiga kwenye hii baada ya hapo mabo yakawa ndio hivyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom