Hii ofisi ya mtendaji aibuuuu kwa eneo hili

digalangosha

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
1,572
2,286
Wakuu poleni na majukumu...!!!

Leo katika pitapita nilienda kwenye nyumba ya waziri mmoja kurekebisha umeme. Sasa wakati naondoka mtu niliyekuja nae akawa amesema tupite kwa mtendaji wa eneo hilo la nyumba 300.

Hii ofisi ni aibu kwa eneo husika kwa kweli kutokana na yafuatayo.

1. Pachafu lakini ndani kuna tangazo wanaimiza tufanye usafi
4e8f9d885b0f075ac9cf2388d48dce36.jpg


2. Hakuna kibao zaidi ya maandishi ya kihuni
a68a8813b94f49e9c9a32267c379e208.jpg


3. Ndani wanahifadhi nyasi za kurishia ng'ombe
40beacfb488b98d0f13557c74ca0498f.jpg
f3248431970a8a72b2cee5a5798d3a4f.jpg


4. Ofisini hawakai watu kabisa zaidi ya siku ya uchaguzi na kujiandikisha kwenye bvr.
3286d9120f169e81410f3c0602365060.jpg

aeaceee79a49ff463bde771dde201ece.jpg


MY CONCERN:
Huku mtaa wa nyumba 300 wanaishi watu wengi wazito (wenye vyeo) wabunge, mawaziri, wakurugenzi, na hata waziri wa tamisemi anaishi huku na hiyo ndio ofisi ya mtendaji wake. Na kibaya zaidi huwa wanapita kila siku hapo lakini hata kuamasisha watu wachange kupaka rangi wameshindwa.

Pamoja na kupewa ofisi nzuri na ya kisasa lakini wameshindwa kuiendeleza.
 
Back
Top Bottom