Hii nyumba ndogo balaa...

Aisee hebu nipe contacts zako PM fasta............
 

Huo ni wizi kwani wewe hupati huduma? sasa kwa nini umlipishe mwenzio?
 
Pamoja na uzoefu wangu nakiri hii iliyonikamata sasa balaa. Inanimalizia hela zangu lakini kuchomoka nimeshindwa. Walahi nikifanikiwa kuchomoka hapa na ISC nahama...

Vipi mkuu kama unapata ile kitu roho inapenda si ndio maisha ? ........... hela ndo matumizi yake ...... au wewe ndio wale
wanaotunza hela badala ya hela kuwatunza wao ........:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…