Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,387
- 8,584
Hello.
Guys kuna rafiki yangu mmoja yupo mkoa. Sasa leo amenitumia link ya mtandao unaoitwa Cashni.
Na kwamba ukifuata maelekezo unapata pesa kwa kila mtu unaye mdirect huko. Na amenitumia na check ambayo amelipwa na bank ya Canada.
Sasa nauliza kuna ukweli hapa? au ndo wizi wa mitandao maana ni rafiki yangu sana na natamani kumwamini, wajuzi wa haya mambo nao naombeni mwongozo.
Naomba kuwasilisha link yenyewe chini hapo.
http://jamiiforums.com/?refcode=70787