Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 424
- 90
sawa lakini mi nlidhani tanesco watatoa consideration kwa tukio muhimu la finali, kumbe wapi. Pata picha unaangalia dstv ghafla totorooo...tz zaid ya uijuavyo.hii ndio nchi yetu inabidi tuipende tu, kama vile viongozi wote wapo likizo.
mkuu inawezekana maana watz wengi siku hizi wana simu za tochi. Msishangae serikali ya magamba ikawataka wananchi kununua simu hizo ili kupambana na giza, kwani rais siyo wingu kwamba akanyeshe mtera. Teh teh tehLabda walikuwa wanataka kufanya utafiti kama mwanga wa kwenye simu nyingi unaweza kutoa mwanga wa kutosha uwanjani.
hahaha mkuu hii nimeipenda! Sijui utafiti wao ulibase cm za tochi au blackberry! HahahaaLabda walikuwa wanataka kufanya utafiti kama mwanga wa kwenye simu nyingi unaweza kutoa mwanga wa kutosha uwanjani.
hivi kweli uwanja ule hauna standby generator?
Generator wanalo nani wa kununua mafuta wakati mashindano yameishaLakini ni aibu uwanja mkubw kama ule kuto kuwa na Standby Generator.
Nakubaliana na wewe,pia si unajua jk ni yangaon duty wa leo alikuwa simba
haha haha haaaa...we umeona mbali hata mi nakubali.on duty wa leo alikuwa simba
Generator lipo na tatizo kama hili liliwahi kutokea na kuthibitika kuna karani aliuza mafuta na taarifa zinadai bado yupo pale hahaha!Lakini ni aibu uwanja mkubw kama ule kuto kuwa na Standby Generator.