Hii ni zaidi ya hatari

Hii ni zaidi ya hatari

mpyepye

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
251
Reaction score
51
Wanajamvi hizi ni muendelezo wa picha za tukio la malori yaliyoungua boda whisky Congo
 
Attachments

  • 1417142708697.jpg
    1417142708697.jpg
    14.1 KB · Views: 831
  • 1417142723249.jpg
    1417142723249.jpg
    58.1 KB · Views: 785
  • 1417142736712.jpg
    1417142736712.jpg
    53.3 KB · Views: 761
  • 1417142752672.jpg
    1417142752672.jpg
    34.6 KB · Views: 823
  • 1417142772415.jpg
    1417142772415.jpg
    31.8 KB · Views: 732
  • 1417142787769.jpg
    1417142787769.jpg
    12.1 KB · Views: 750
Hii ilitokeaje hadi wakashindwa kujiokoa? Rip madereva...
 
Mmh hao marehemu walikuwa kwenye malori? Mtoa mada fafanua.
 
hiyo picha moja ya chini yanye maiti nyingi SI KWELI...ni wale watu waliochomwaga na boko haram nigeria....SIJUI hasa mtu anapata faida gani kukuza na kuweka habari za uongo..na kupotosha... najiuliza ana faidika nini nakosa jibu..sana sana kujichumia dhambi bureeee..hata husukumwi na mtu... #cheapMinds
 
Nilikuwa najiuliza hii picha kama nilishaiona kabla ya tukio la twist!hivi walikufa watu wangapi hapo twist?
 
mtoa mada edit post yako .. toa hiyo picha ya uongo haraka sana
 
Zinatisha sana.

Sisi binaadam hatuna thamani hata kidogo basi tu huwa tunajisahau
 
Back
Top Bottom