juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Wana jamvi,siku EL anaenda kuchukua form kiukweli alisindikizwa na mamilioni ya watu,nikiwa mmojawapo(mana ntampa kura yangu,labda nife).nikaamua kufanya tathimini kama wale vijana watampa kura,niliuliza vijana 100 tu ambao hawajuani,,nliuliza kama watapiga kura ila jibu lilikuwa ni moja tu as if walikuwa wameambizana "yaani niache kazi zangu siku nzima leo harafu eti nisipige kura,ntakuwa ni chizi sasa!!"" Hilo ndio jibu walilokuwa wananipa,,ccm ijipange mwaka huu,na sijui itajipangaje mana vijana washalishwa sumu na ukawa,hawasikii hawaambiliki kuhusu lowasa,