Hii ni Tabia ya aina Gani

Aisee Kuna watu wanapitia magumu🤔
 
Machoko hayo, yanaaungusha gari, ili waparamiwe
 
Usiku huo,wewe unakua unatoka wapi?


Siku nyingine waulize hao vijana coz ndio wenye majibu sahihi,
Sisi humu hatuwezi kujua.
 
Akina Poor Brain wanalalia tumbo Ili kubana tumbo Ili lichelewe kufanya digestion ya pombe na kitimoto walivyokula 🔥
Ndo nimesoma uzi..
Kwahyo mkuu mimi najilaza barabarani then huyo.bushmomy ndo ananiuliza mimi lengo langu ni lipi..

Mbaga jiheshumu we jamaa mi silewi..
Na kwanini nikajilaze pembezoni mwa mtaro ambako kuna mwanga hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…