Hii ni Standi ya Mtwara?

hahahaaaaa yani mtwara mliacha gesi ikabebwa mkaachwa walinzi wa visima mtegemee stend kama hio itakaa ije huko
 
Hapo ni Derby Bus Station, UK kwa aliyefika anaijua vizuri
 
sasa wamachinga wanatafuta nini dar??au hizo ndio hela walizo invest kwao
 
hahahaaaaa yani mtwara mliacha gesi ikabebwa mkaachwa walinzi wa visima mtegemee stend kama hio itakaa ije huko
Usiseme hivyo mkuu..
Tulipambana tukashindwa...
Risasi, Mabomu na Virungu vinauma sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…