Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Ndio najiuliza, tarehe moja January ni sikukuu ya kiserikali? kidini? au binafsi? Kama ya kiserikali mbona sioni gwaride likiwepo. kama ya kidini, dini ipI na kwa msingi upi. Na binafsi inaanza anzaje?