Hii ni sawa??

BabaJonii

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
282
Reaction score
145
Hivi jamani hawa watoto wanajifunza maadili au tunawapotosha watoto wetu?
 
haya mambo ya"now you can kiss the bride" ni ya kimagharibi lakini wabongo nao siku hizi wanapigana denda kanisani kwa idhini ya padri mweusi muafrika..
 
Sasa mbona mi sioni cha ajabu, mimi naona baba harusi kamshika mama harusi anamuangalia uso jinsi alivyopendeza. Sasa hapo kuna shida wa ndugu?
 
Cku hizi imekuwa sawa so you better get used to it........whenever you see something like that don be suprised, thats our world today..........
 
Halfu vinaonyesha vinajua check hako kasichana kanaona aibu(katoto kadogo) na kavulana kanachungulia kwa bidii, kizazi cha nyoka hiki, hata wasipoona hapo wataona kwenye tv na mitandaoni.
 
Halfu vinaonyesha vinajua check hako kasichana kanaona aibu(katoto kadogo) na kavulana kanachungulia kwa bidii, kizazi cha nyoka hiki, hata wasipoona hapo wataona kwenye tv na mitandaoni.

Hivyo tukate tamaa!
 
Hao watoto ni "flower girl" na "flower boy".Kwenye harusi nyingi utawakuta ndo wanabeba maua kwenye vikapu vidogo vidogo mbele ya Bwana na Bidbi harusi.
 
Sawa tu, wanajifunza...kuonyesha upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…