jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Ishhhhh kwani tunavaa vimini ili kutafuta wachumba?
Mmmh hujaielewa mada rudia kuisoma
nimeelewa na nnauliza tena kwani kuwa na mchumba ndo tuvae madera? Kwani vimini tunavaa ili kutafuta wachumba?utakuta msichana ana mtu wake(mchumba/mpenz) lakini nguo anazovaa jamani si za heshima
nimeelewa na nnauliza tena kwani kuwa na mchumba ndo tuvae madera? Kwani vimini tunavaa ili kutafuta wachumba?
Hivi hii tabia ya kufatilia mambo ya wengine WABONGO mtaiacha lini???
Wewe unashangaa KIMINI, mwingine anamshangaa anayevaa MADELA, mwingine anamshangaa
anayevaa BAIBUI.
Jali mambo yako bro, usiumize kichwa kwa jambo lisilokuhusu.
Wakati unamfuata alikuwa anavaaje?? Why now umpangie?