jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Habari ya jumapili ndugu zangu,
Namshukuru Mungu mi ni mzima ila naamini hata nyinyi ni wazima na kwa wale walio wagonjwa nawapa pole Mungu awaponye.Naomba ndugu zangu tusaidiane katika hili navyojua mtu akiwa ndani ya mahusiano ni lazima kwanza ajitambue na atambue thamani yake na ya mwenzi wake(mume/mke) au hata kama bado ni wachumba.
Sasa nikizungumzia kwa upande wa hawa wanawake/mabinti.Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanawake/mabinti kuvaa nguo zisizowasitiri vema miili yao matharani utakuta msichana ana mtu wake(mchumba/mpenz) lakini nguo anazovaa jamani si za heshima, mtu anavaa kimini na bado kina mpasuo akitembea mapaja yote nje akikaa ndio usiseme.
Mpaka yeye mwenyewe anajistukia anaanza kuficha kwa mbele akitumia kitambaa lakini ukichunguza unagundua ana mpenz wake au ana mume wake sasa jamani hii ni sawa kweli hizo sehemu nyeti kwanini asifaid mumeo chumbani kuzitazama?
Wana jamvi naomba tusaidiane kwa nini hawa wanawake/mabint huvaa hivi licha ya kuwa ndani ya mahusiano? Na je hii ni sawa?Naomba niiweke mada mezani..michango yenu inahitajika.
Karibuni tuelimishane