hii ni sawa kweli?

Ndoa / mahusiano ni makubaliano.., kabla hatujauliza ni nini kinaendelea ni vema kuuliza upande wa pili anachukuliaje issue kama hio.., kumbuka watu hawapo sawa kuna watu wana open relationship as well as uke wenza
 
gfsonwin, Kaunga, charminglady, Kipipi na wengineo hebu njooni mnipe mitazamo yenu kuhusu hili plz.


Wananiboa sana watu wa namna hiyo.
Kama kweli mtu unajiona kidume na nyumba ndogo yako weka hadharani basi mkeo ajue!
Na kama nyumba ndogo unaipenda sana . . . hamia huko basi tujue moja!!
AAIYAAAAA!!!!!!

BTW; Habari yako Graca, sijakuona siku nyingi kweli!
 
Last edited by a moderator:
africa free AIDS generation is neva posibo wit these kinds of men! lol!
 
Ndoa ikifika hatua ambayo hujali mwenzi wako yuko wapi, anafanya nini na nani? Au niseme hauna chembe ya wivu...

Na hata ukifanya mambo yako hujishughulishi kuyaficha...! (Yani u don't care)

Hii ndoa na ijifie.. Mambo ya kung'ang'ana ili tu ufurahishe jamii akuuuuuuu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
BelindaJacob, mh ni kazi..hata kama ndoa ni ndoana but hii imepitiliza. ina maana anaishi nae kwa mazoea tu wala hajali tena hisia za mkewe na yupo tayari kwa lolote au ndo yale mambo ya akufukuzae hakwambii toka?

Yaani kwa ulivyomuona huyo kaka, ujue hajali kabisa...madai ametekwa akili ipasavyo!!..kama ulivyosema hakufukuzae hakwambii toka...!
 
Tatizo la hapo dada yangu utaishia kugegedwa sana na kina mzabzab.

Ila mi nafahamu wanaume tuliotulia tupo:rockon:...the only thing nyie mnatafuta th bad boys alafu mnageneralize kuwa ndo wanaume wote!!!:yo:


hahhahha si bure.Kwani Mentor we hujui formular ya marriage?mwanaume alijetulia anapata mke kiranga and vice versa is true yani ni rare kukuta couple wote wametulia tena ukiwa mdada wa maana ndo kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
hahhahha si bure.Kwani Mentor we hujui formular ya marriage?mwanaume alijetulia anapata mke kiranga and vice versa is true yani ni rare kukuta couple wote wametulia tena ukiwa mdada wa maana ndo kabisaaa

Ivoee...na nilivo mtulivu mm si ataniua na pressure.
Kwa hiyo mi kuoa bado sana maana sitaki stress kabisa yani!!!
 


Utoto tu huo
Mimi mama mzazi siweki picha yake kwenye namba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…