Hii ni sawa jamani!!

wewe muharibifu. hapana kabisa. umeshawaliza wengi mjini

hahahha kumbe na wewe una notion ya kwamba wakati wakugegedana mwanaume ndio anaharibu mwanamke....kweli wacha tuwaharibu tuu kama mentality zenyewe ni kwamba mwanaume ndio anafaidi sana.
 
Ni makubaliano yenu tu sio haki wala sheria, hata ukiamua kumjengea ghorofa kabla ya kumuoa ruksaaaa mradi tu asikuforce!
 
Kwa mtazamo wangu ni haki, lakini sio wajibu....! Kwa maana waweza kumhudumia kama unavyowasaidia wengine ambao hata sio ndugu zako, na wala hutegemei reward yeyote kutoka kwao, ila sio wajibu ambao usipotimiza sheria inaweza kuchukua hatua....! It is just a wish, and nothing else...!
 
sio haki ni uamuzi na wanaume kadhaa wanapenda kujitwisha majukumu yasiyowahsu waonekane wanazo. malipo yote ni kuchakaza K. mjini shule

kama siyo haki sasa mtu asipompendezesha mpenzi wake nani atampendezesha? haya ni maneno ya rafiki yangu ambaye aliniomba ushauri et mpenzi wake hataki kumhudumia maana anadai et hajamlipia mahari kwa hiyo shida zake awaeleze wazazi wake,. mim nliona kama huyo jamaa yupo right ila nkasema niombe ushauri kwanza hapa jamvini kabla sijampa right answer.thanks
 
hahahha kumbe na wewe una notion ya kwamba wakati wakugegedana mwanaume ndio anaharibu mwanamke....kweli wacha tuwaharibu tuu kama mentality zenyewe ni kwamba mwanaume ndio anafaidi sana.

we mzabzab acha fujo
 
we mzabzab acha fujo

hapana dada sio fujo....ni kweli kwamba wanawake wengi wanadhani either mwanaume ndio anaenjoy sana kugegeda au mwanamke ndio anavurugwa na mwanaume....hii ndio inakuja kuwa translated into the attitude ya kuwa u doing us a favor kwa kutuvulia chupi zenu....i hate this with whole my heart na mwanamke akitaka kunitimbua alete hiyo kitu....yaani nitafanya juu chini nimgegede just for revenge sake lol
 

mh,.. haya baba
 
neno haki inabidi liende na wajibu........ ila hiyo siyo lazima , inategemea na mtu mwenyewe anavyoamua kuchukua hayo majukumu amependa mwenyewe au kwasababu ya shinikizo.
mwisho wa siku ni mtu binafsi na mambo yake
 
ukinipa napokea ukiuchuna usitegemee ntaenda extra mile, motivation kwa mwanamke ni nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…