Hii ni sahihi kweli au ni kukosa heshima kwa wakwe?

Asichokijua baba ni mwanae kuwa na ujauzito lakini hatua nyingine zote anafahamu na ndie aliepanga mahari lakini hawa wameanza kuishi kabla ya mahari na had sasa mke ni mjamzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivyo bas hilo jambo dogo sanaaa kifupi hakuna kesi hapo kawaida hiyo kwa jamii ya sasa labda km amtelekeze huyo binti lkn km ana nia ya kuoa basi aende nae mradi akifika alipe mahari aloambiwa mchezo umeisha hata km binti mjamzito mahar haiwez kataliwa. Binafsi mm nililipa mahari baada ya kumzalisha kabisaa binti mtoto mmoja baada ya kujifungua ndo binti alienda kwao kusalimia nami nilifata baada ya siku km 4 hivi lkn nilienda mshenga na kulipa mahari hukohuko then mengine yalifata
 
Sawa nashukuru kwa kunielewa, sasa yeye anadai hana mahari kwa sasa lakini analazimika afike kufahamiana na wazazi wa binti . ndo anauliza hii imekaaje kitaalam hahahbaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo Msibani Maswa
Kwa Dkt Pius NG'wandu
Nikitoka Hapa Ndiyo Nitatoa Ushauri Mujarabu!!
 
Sawa nashukuru kwa kunielewa, sasa yeye anadai hana mahari kwa sasa lakini analazimika afike kufahamiana na wazazi wa binti . ndo anauliza hii imekaaje kitaalam hahahbaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii simshauri aende sio picha nzuri maana mahari alishatajiwa akienda awe na mahari hata nusu au robo itasound mahari sio lazima ilipwe yote on spot km ni laxima aende bas aende na kias flan hata robo au nusu ya mahar km kianzio hapo itasound tofaut na hapo asiende kabisaaa mpaka akijipanga
 
Oky mkuu.

Wazee wa mwanamke walisema hata kama hana hela bora aende wamufahamu kuliko kuishi na mtoto wao wakati hawamjui. Sasa jamaa anawaza kapewa hiyo option je itakuwaje maana asipoenda pia itaonekana kadharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom