Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,552
Msaaaada tafadhali kama unajua
Mkuu hiyo ni Poland lkn sijui thamani yake kwa sasa na hapa bongo, kama unayo leta tugawane.Msaaaada tafadhaliiii
Bado inatumika?pesa ya poland, inaitwa polish zloty
nikama dola 2500usd au tzsh mil 5.5
Hiyo ni pesa ya PolandMsaaaada tafadhaliiii
Hapa sijaelewaHiyo ni pesa ya Poland
1=557
10000*557=5574717
Bado inatumika?
Mkuu kwahiyo haitumiki tenaaa?Hapana.(ni note yazamani nadhani) ilikuwa mwisho 2010 kuweza kubadili katika benki kuu yao. nisikukatishe tamaa pitia forum hii kuna majibu mazuri
Old Polish money banknotes - what's their value today?
pia pita katika maduka ya kubadili pesa watakujuza zaidi soko lake
Mkuu kwahiyo haitumiki tenaaa?
Kesho naamkia NMB nione wanasemajeeeeboss usiwe mwepesi kukata tamaa taarifa zote umepewa jishugulishe kupata uhakika wa tatizo lako nenda hata bank watakusaidia
Umeipata wap?Kesho naamkia NMB nione wanasemajeeee
Sasa haitumik izo value zinatoka wapi.??Bado inatumika?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu hiyo ni Poland lkn sijui thamani yake kwa sasa na hapa bongo, kama unayo leta tugawane.
Kweli hali ni ngumu hadi tunapigia hesabu noti za nchi nyingine??? Mkuu hiyo niya poland!!ila siku mbuki kwa sasa ni bei gani kwa hapa kwetu!!
Nilikua napekua dokomenti za baba wa taifa nkaikutaUmeipata wap?
Maisha ni magumu kweli but ugumu wa maisha hapa unaingiaje?Kweli hali ni ngumu hadi tunapigia hesabu noti za nchi nyingine??? Mkuu hiyo niya poland!!ila siku mbuki kwa sasa ni bei gani kwa hapa kwetu!!
Mkuu soma vizuri hakuna sehemu nimesema maisha magumu!![emoji86] [emoji86]Maisha ni magumu kweli but ugumu wa maisha hapa unaingiaje?