Wewe una wachumba wangapi?!Habri za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu ambaye tumekuwa kwenye uhusiano kwa muda sasa, kiasi kwamba ninafahamu tabia zake vizuri.
Lakini hivi karibuni amegundulika ana ujauzito lakini naona kama kuna vitu anafanya vinakuwa kupita kiasi. Aisee, ndugu yenu ninatumikishwa sana, mara nimkate kucha, mara akijiskia kuwashwa kidogo ninaambiwa nimkune, mara nimuandalie kifungua kinywa, kabla sijamaliza jambo moja ninapewa lingine.
Halafu kisirani sasa ndiyo kimekuwa juu zaidi. Wakuu hivi kweli mimba mara nyingine zinakuwa hivyo au anaamua tu kunifanyia kusudi ili nisiwe na amani?
Wanawake wa aina hii mnatesa sana jamani, hata kama ndiyo ujauzito inabidi mpunguze kudeka.
😂😂😂😂😂Ananuna? Muache anune hawezi kufa.Nikikataa ananuna siku nzima hanisemeshi
Aaah kumbeNinamchumba mmoja tu
Hapa JF ninao kama 13. Nje ya hapa ninao wanneWewe unao wangapi?
Asante sana mkuuKwahiyo unao 17
Hongera sana.
Wengi wao huwa ni kujiendekeza tu,Habri za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu ambaye tumekuwa kwenye uhusiano kwa muda sasa, kiasi kwamba ninafahamu tabia zake vizuri.
Lakini hivi karibuni amegundulika ana ujauzito lakini naona kama kuna vitu anafanya vinakuwa kupita kiasi. Aisee, ndugu yenu ninatumikishwa sana, mara nimkate kucha, mara akijiskia kuwashwa kidogo ninaambiwa nimkune, mara nimuandalie kifungua kinywa, kabla sijamaliza jambo moja ninapewa lingine.
Halafu kisirani sasa ndiyo kimekuwa juu zaidi. Wakuu hivi kweli mimba mara nyingine zinakuwa hivyo au anaamua tu kunifanyia kusudi ili nisiwe na amani?
Wanawake wa aina hii mnatesa sana jamani, hata kama ndiyo ujauzito inabidi mpunguze kudeka.
Hakika! Mama zetu wamezaa na hawakuwa na hizi mbwembwe za hawa mabinti wa kizazi cha sayansi na teknolojiaPole, wanawake recently wanadeka sana. Enzi za wazazi wetu mambo hayakua hivo kabisa. Mwanamke akikuzoea sana, anakutesa.
Mna act upendo sana! That's nonsense. Kwani ukikataa mimba itatoka?
Hapo kunasiku from nowhere atakwambia uwe unampeleka vituo vya mafua awe ananusa petrol. Kupunguza makali,mda mwingi usikae home maana kuna siku yatakufika kooni,utabutua mateke mimba itoke.Habri za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.