Hii ni Makusudi

Hapa ningebaki tu nacheka....kama Mbwa anaweza kuwa na akili ya namna!!
 
Wakati fulani huwa nafikiria binadamu tulitakiwa kuwa na akili nyingi sana isipokuwa dhambi zilivyotujaa hata wanyama wanatuzidi akili. "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe
umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe"
Hosea 5:6 Isaiah 5:2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…