Heri wazee.
Aise,kweli kuwa uyaone!Na si magholofa! Jamaa mmoja kaamuwa kuoa mwanamke nila kujua ni mtoto wake. Na haya mambo ya kukutana huko mitaani na kupanga ndoa acheni kabisa. Jama 1994 kashiriki mauaji dhidi ya waltutsi na kubaka.Mungu si athumani aliyembaka hajauliwa.Ila alimuacha na ujauzito.Bahati mbaya mwenye kubakwa anatambua sana aliyembaka. Na kosa kubwa eti kaogopa kumueleza ukweli mtoto; na sasa mi namlaumu yeye ndo chanzo cha maovu haya.Jamaa bada ya kuachiwa huru na kujishughulisha;maisha yamemnyokea na kupata jiko.Wameenda na kulana na hatimaye binti mjamzito.Muda wa kumtambulisha acha uje,kisa hataki kuzaa bila mwenye mimba kutambuliwa na mzazi.Kufika mama anajikutu ni yule aliyembaka na ndo mwenye mtoto.Ndoa haman, kesi ya udhalilishaji imeibuka; watu hawana la kusema. Nadhani kuna kila sababu ya kuchunguza background za wenzetu tuingiapo kwenye mahusiano ya kimapenzi na kabla ya kugegeda