Hii ni kweli

Majhura fikiri

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
121
Reaction score
13
Mambo vipi jamaan eti mapenzi ni pesa au pesa inanogesha pendo
 

Attachments

  • 1451799581429.jpg
    27.7 KB · Views: 31
"money and love are two sides of the same coin"
 
Mapenzi ni viungo vya uzazi, pesa ni leso ya maisha.
 
sio kweli mapenzi sio pesani kupendana kwa dhati!!!!
 
Mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua

Tafakari chukua hatua
 
Duh mpenz kwanza ila pesa inaongeza ladha ni kama chumvi kwenye cha kula au sukari kwenye chai ,ikikosekana hata ya kawaida yanapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…