Hii ni kweli

mahutu

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
766
1,000
Tajiri mkubwa Africa..Dangote...ameshusha semi 651 pale mtwara kwa siku moja gharama yake nikubwa sana kwa kila semi moja.....sasa ikitokea wewe ukaambiwa uzinunue hizo semi zote kwa gharama ya TSh 15000 leo hii...nina imani wengi hatutaweza nunua hizo semi....na hata leo hii ikitokea ofa ya kwenda mbinguni kwa tiket ya Tsh 5000 wengi wetu tutabaki.....hii inaonyesha ni kiasi gani tunataka mambo makubwa kabla ya kuandaa na kuimarisha madogo....tafakari chukua hatua mafanikio ya maisha yako yanakutegemea wewe....sio kila siku kulalama....tumetokea kukabidhi maisha yetu kwa wanasiasa ndo maana wanatuchezea kifikra...ukianza mwaka mpya achana na yaliyo pita..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom