Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 293
Ni kweli kabisa nimeona Hilo jambo mimi mwenyewe hapa Tanzania siku hizi vijana wengi hawaamini tena uwepo wa Mungu. Hata vijijini mambo ni hivyo! Miaka 10 iliyopita ulikuwa huwezi kumkuta mtu anabisha wazi wazi uwepo wa Mungu.MIAKA 30 MBELENI IMANI YA ATHEISM ITATAWALA DUNIA(upagani,kutoamini mungu)
[emoji216]
Sababu kuu ni moja tu, mfumo huu wa maisha ya sasa utakuwa umepinduliwa na kuwa replaced na mfumo mpya.
Mfumo huu mpya utajibu maswali yote ambayo dini kuu mbili zimeshindwa kuyajibu.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia ndio yatakayo fanya mfumo wa maisha ya sasa hivi upinduliwe na kuwa replaced na mfumo mpya.
NAMAANISHA NINI KUSEMA MFUMO WA MAISHA?
Ngoja nikupe mfano kidogo. Nakurudisha hadi kwenye bustani ya Edeni kabla Adam na Hawa hawajamuHasi mungu.
Kwenye bustani ya Edeni, Adam.na Hawa waliishi chini ya mfumo maisha ambao ulikuwa tofauti na mfumo wa maisha ambao waliuishi mara baada ya kafukuzwa kutoka Eden. Mfumo ambao ndio tunauishi mpaka.leo.
Kwenye bustani ya Edeni hakikuwa na [emoji116]
1. Kifo
2. Magonjwa.
3. Kula kwa jasho.
4. Kuzaa kwa uchungu.
5. Adam na Hawa wali exercise their full authority of each and everything that surrounded them.
5. Adam na Hawa walikuwa wanazungumza na Mungu physically. God the Almighty was physically visible from their point of observation.
6. Kifupi ilikuwa ni bata juu ya bata.
BAADA YA KUFUKUZWA EDEN:
ADAM na Hawa ,walianza kuishi maisha ambayo : [emoji116]
1. Walijua kuna kifo.
2. Kulikuwa na kuugua
3. Kuzaa kwa uchungu.
4. Kula kwa jasho.
5. No more physical contact with God.
6. Their authority over other creatures was a little bit shaken.
Tafsiri rahisi ni kwamba baada ya Adam na Hawa kuasi la Mungu, mfumo wao maisha ulibadilishwa juu chini. Walianza kuishi chini ya mfumo mpya ambao ilibidi wa u adopt.
MIAKA 30 IJAYO.
Kwenye Biblia imeandikwa kwamba siku atakayo kuja Yesu atashusha mbingu mpya na nchi mpya. Kwa tafsiri yangu Mimi hizo mbingu mpya na nchi mpya ni mfumo mpya wa maisha na sheria mpya za maisha zitakazo endana na mfumo huo mpya.
MAMBO MAWILI YATAFANYIKA
1. viumbe kutoka sayari na universes zilizo endelea kiteknolojia watashusha teknolojia yao kwa watu wanao ishi katika sayari .
Kwenye bustani ya Edeni Adam na Hawa waliumbwa kwenye Mwili mmoja wakiwa 'wameungana' Adamu alikua upande wa kulia na Hawa alikua upande wa kushoto, Mungu akawapiga nusu kaputi ili afanye upasuaji akaweza 'kuwatenganisha'Kwenye bustani ya Edeni, Adam.na Hawa waliishi chini ya mfumo maisha ambao ulikuwa tofauti na mfumo wa maisha ambao waliuishi mara baada ya kafukuzwa kutoka Eden. Mfumo ambao ndio tunauishi mpaka.leo.
Njaa kali huwezi kupinga uwepo wa Mungu bila kua na sababu zenye mashikoNi kweli kabisa nimeona Hilo jambo mimi mwenyewe hapa Tanzania siku hizi vijana wengi hawaamini tena uwepo wa Mungu. Hata vijijini mambo ni hivyo! Miaka 10 iliyopita ulikuwa huwezi kumkuta mtu anabisha wazi wazi uwepo wa Mungu.
Wanaoamini uwepo wa Mungu watabaki wachache sana wataonekana punguani wakubwa!
Miaka 30 ijayo wewe utakua umeshaoza?Sasa sisi inatuhusu nini? Tutakua tumekwishaoza huko kaburini
nina miaka 70 sasaMiaka 30 ijayo wewe utakua umeshaoza?
Kwa hio wewe ushakua gari la Mkaa trip shamba trip garage?nina miaka 70 sasa
Uzee mwisho KibahaKwa hio wewe ushakua gari la Mkaa trip shamba trip garage?
Yaan trip shamba trip garage, Si unajua miaka 70 Kisukari, Presha, mara tezi Dume Mfalme wa Uingereza eeh Si unajua?Uzee mwisho Kibaha
Mkuu, tunafuata masharti ya Prof Janabi, naongeza wake tu na wanatuliaYaan trip shamba trip garage, Si unajua miaka 70 Kisukari, Presha, mara tezi Dume Mfalme wa Uingereza eeh Si unajua?
Unaongeza nini?Mkuu, tunafuata masharti ya Prof Janabi, naongeza wake tu na wanatulia
Mke wa nnne huyu sasa ninaye, piga mshine tu, masharti ni simple, usipende vitu vitamu, kula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha na maji glass nne asubuhi na sangara na boga na mboga za majani jioni,basiUnaongeza nini?
Ukila hivyo utatombewa mpaka uombe poo, wenzako wanagonga magimbi/mihogo na uji mzito sana asubuhi alafu usiku Ugali mgumu wa Dona na kisamvu cha Nazi akimkamatia mkeo huyo atakusimulia magoliMke wa nnne huyu sasa ninaye, piga mshine tu, masharti ni simple, usipende vitu vitamu, kula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha na maji glass nne asubuhi na sangara na boga na mboga za majani jioni,basi
Prof Janabi special
Unabishana na Prof?Ukila hivyo utatombewa mpaka uombe poo,
Prof kufanyaje? Nani anataka kutombewa?Unabishana na Prof?
Kwa kutumia maneno yako.
Kwa hio njaa kali imetoka wapi? Km Mungu hayupo kwanini kuna njaa?Kwa kutumia maneno yako.
Uwepo wa njaa kali ni uthibitisho Mungu hayupo.
Mungu angekuwepo, njaa kali isingeweza kuwapo.
Njaa kali ni second law of thermodynamics tu. Ukielewa physics ya second law ya thermodynamics inaelezea entropy ya closed system vizuri na jinsi gani kuepuka disorder kazi inabidi ifanyije na hiyo kazi inahitaji nishati na njaa kali ni 8ndicator ya nishati kwenye system tu.Kwa hio njaa kali imetoka wapi? Km Mungu hayupo kwanini kuna njaa?