Hii ni kweli au macho yangu?

Hii ni kweli au macho yangu?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
10378956_777691962326762_6170199384129931592_n.jpg
 

Attachments

  • kazi kweli ipo hapo.jpg
    kazi kweli ipo hapo.jpg
    38.1 KB · Views: 1,055
Daaaah!baba hapo lazma. Umtafute,maana hapo mm na mautundu yangu yote nmechoka hapo kaka'alafu ukute kapaki mbele ya mlango wa kutokea ndan ya nymba!nimeilike hiyo mkuu'
 
Njia pekee hapo atafuta watu wainue sehemu ya nyuma ya gari na kuirudisha chini
kwenye nafasi. Kisha unakula rivasi moja kali huyoooo!
 
Apo ata aje wa transpoter haitoi kwa vyovyote amtafute na ampe chake akitaka usalama.
 
Hapo boss lazima ukae.Lakini hata huyo dereva ni noma sana,sijui hata kachomekea vipi hapo,na je akipewa chake ataweza kulichomoa hapo?
 
Hilo mbona linachekechwa hadi linatoka? Afike Dau Wakaksi tupo.
 
Back
Top Bottom