Mwana wane Soon baada ya kutoa hili lipost kuna m2 alini sms kuwa naitwa fulani , amaeona advts yangu JF kisha anataka 2 chati .
basi akiniuliza naishi mitaa gani , nafanya nini. wonderfull ni kwamba hakuniuliza hata naitwa nani? badae nilipo kuwa na msms akawa hanijibu. kesho yake akanitumia sms kuwa alipitiwa na usinginzi. (sina uhakika kama nilikuwa na mboa ama vipi maana tokea mwanzo mie nsha sema sina swanga za uongo na ukweli , naongele maisha halisia ya jana leo na kesho).
inshort nili mweleza nafanya nini na napanga kufanya nini.
KItu kinacho nisikitisha ni kwamba nikim2mia sms huyu mtuu inachukua masasa nane ama 9 kunijibu. nikimpigia cm haipokelewi.
sasa najiuliza kwakuwa yeye ni mmoja wa wanawake wanao jishughulisha na kupambana na maisha kama wanaume sasa hana mudas wa kunijibu sms zangu . ama kwakuwa alinyambia kuwa huwa anasafiri safiri kwenda mikoni sasa amekwenda ule mkoa mpya wa bize amabpo network hazitoki. ama ametekwa sasa natakiwa nikamuokoe.
na mwazo mengine mwana wani yana nituma kuwa laba huyu mtu ni wajinsi ya kiume sasa anashindwa kupokea cm zangu maana ntajua sauti, kwa maana mie natafuta kujuana na msichana na sio Shoga.
Ila wooga wangu mwana wane uko pale amabapo ataamua ajisogeze karibu tuwe sawa halafu badae tena aanze kuuchuna kama hivi , ili nianze kuteseka kwa mawazo moyoni mwangu.
Kwa hiyo nakupomba wewe Lisa kama unania mbaya na mimi ushindwa na ulegee kwa jina la mungu wako.