Chopra1235
Member
- Jan 5, 2019
- 14
- 18
Haaha hayupo serious yatakuwa ya mbuniMayai ya nini?
Amesema mayai yake ni ya kiwango cha kimataifa. Hizo bei ulizotaja wewe ni bei za yale mayai ya kiwango cha kitaifa.
Mayai yamehusika sana katika kupoteza nguvu za kiume kwa wanaume wa Dar.Amesema mayai yake ni ya kiwango cha kimataifa. Hizo bei ulizotaja wewe ni bei za yale mayai ya kiwango cha kitaifa.