mangi waukweli
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 246
- 27
Wewe,kwa nini wadada tu????unamaanisha huyo atayekukaribisha kuishi kwake akukaribisha na kila kitu chake???personally nilianza kukuelewa ila ulipoanza kueleza habari za uhandsome naona sitaweza.
Kaa tu na handsome wako lol!
pole yake,hata wadada twawezanunua hilo gari.asijidanganye na hilo gari lake kla mwaka 90.sasa huyu sii alishajua gari ndio kisu cha kuwachinjia wanawake ndio maana anataka wanawake tuu
Kwahiyo hapo mkuu mtaji ni gari au degree?
Kha!
unaluka majivu unakanyaga moto.Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo
Kwahiyo hapo mkuu mtaji ni gari au degree?
Kha!
Wewe,kwa nini wadada tu????unamaanisha huyo atayekukaribisha kuishi kwake akukaribisha na kila kitu chake???personally nilianza kukuelewa ila ulipoanza kueleza habari za uhandsome naona sitaweza.
Kaa tu na handsome wako lol!
sasa huyu sii alishajua gari ndio kisu cha kuwachinjia wanawake ndio maana anataka wanawake tuu
pole yake,hata wadada twawezanunua hilo gari.asijidanganye na hilo gari lake kla mwaka 90.
seki6,huo u gud luking wako utanisaidia nini mie.wanasema mwanaume hasifiwi kwa uzuri wa sura yake ila kwa kutimiza majukumu yake,wanaume wazuri wanaolewa pia siku hizi,hivyo atafute wababa wamsaudie kwa vilw amwsema ni handsome nadhani atasaidiwa tu.wadada wana huruma ilo swala la good looking wanawake wengi wanapenda ata kama si kimahusiano ndivyo walivyo wanawake wa mjini hawapendi bad looking guys wala usiogope mama jack
degee si natafutia kazi na iyo gari imenishinda kwa sasa ni mzigo wakati natafuta job
njoo uishi kwa dume mwenzio upakatwe...nenda mitaa ya...
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo