Hii ni kwa wanaume Wote

sipendi sipendi kukunjwa kama samaki mbichi hapana aiseee ..... loh mimi nilalemisionary miguu inyooke kiuno kinyooke ndiyo utamu unakuwa hapo mikunjo mara msuli umeakaa vibaya nani anataka

hahahha yani wewe.... sasa hiyo missionary ata kiuno kukizungusha utashndwa!!! af eti umenyoosha miguu tu, ah nakuacha hapo kitandan na miguu yako bora nkalale kwa hausgal
 
Ila kuna wanawake wengine machizi, wanapenda rough ka wanyama. Yaani unamkunja ka wacheza sarakasi wa kichina, unamkaba na makofi juu ndo anataka.
 
mbuzi kagoma kwenda >>>inabidi unyanyue miguu ya nyuma ili atembee....KATA Kucha nayo nzuri
 
Hakuna kutumiwa hovyo mkuu hao ndio wanatakiwa kutumiwa kihivyo, vinginevyo ungeona wanaacha lakini ndio kwanza wanakuja kama mvua,we bania tu ila wenzio wakimpata wanakunja kama kawa.
 
ushaniharibia funga yangu! daaah!
 
Sasa hii ndo faida ya mikunjo kwa mwanaume. Hamna kitu kizuri kwa mwanaume unatoa dozi na kuacha muhuri wa moto au tattoo la kudumu kwa msichana. Ndo maana tunakimbiliaga kumbikirisha mtu sababu kamwe hawezi kutusahau. Mikunjo kwangu itaendelea tu.
 
hahahha yani wewe.... sasa hiyo missionary ata kiuno kukizungusha utashndwa!!! af eti umenyoosha miguu tu, ah nakuacha hapo kitandan na miguu yako bora nkalale kwa hausgal

Ondoka tu naweka na bia pemben nagugumia tu
 
labda awe mke ila mchepuko ilo swala haliepukiki... kukunjwa ndo habare ya town, ata ukipigwa mzinga hela imeenda kihalali

wewe kua makini, mke nae akichepuka akikunjwa huko anakuona bure kabisaaaa
 
Hakuna kutumiwa hovyo mkuu hao ndio wanatakiwa kutumiwa kihivyo, vinginevyo ungeona wanaacha lakini ndio kwanza wanakuja kama mvua,we bania tu ila wenzio wakimpata wanakunja kama kawa.

Sidhani kama umenielewa ndugu, nilichomaanisha ni kwamba hela anayotoa mwanaume ni excess na ke anaye ipokea inakuwa ni income!
Sasa Me anamchezea na kumkunja Ke atakavyo kwa thamani ya pesa aliyompea ndio maana inakuwa ni regret mwisho wa mchezo kwa Ke! Mwanaume anakuwa ameridhika ki ngono na thamani ya hela kaipata! Ke anakuwa kakunjwa na kuumizwa japo pesa kaipata ila itambidi aendelee kukunywa tuu na kutumiwa hovyo ili aendelee kupata hiyo income!

Sasa utu na thamani ya Ke hapo iko wapi??

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
wewe kua makini, mke nae akichepuka akikunjwa huko anakuona bure kabisaaaa

Bhaeleze hao! Kukunjwa ndo habari ya town! Ukimgusa anakusukuma kule! Aafu hawakawii kuleta nyuzi hapa mke ananinyima unyumba!
 
Mjini kula vyawatu ni shigidi.sheeedah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…