Hii ni kwa Wanaume wasiojali

Kiini cha huu uzi ni nini haswa.??

Ushauri huu unawafaa wale wa Vyuo na Mashuleni,,, mazingira ambayo mnaonana mara nyingi..

Sasa huku mtaa ni ni wakati gani hasa utapata mtu akuone unanataa...

Ila MayBe....huenda yapo na yanatokea...Lisemwalo huwa lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…