mirinda tamu
Member
- Sep 2, 2013
- 76
- 27
Hello Ladies
Wow its another beautiful saturday....lolz
Serious kama kuna manzi yupo hapa Dar just check me and i will pay u a visit.....but under one condition.....we just meet and talk.....no hard feelings hakuna ku fall in love wala nini......am serious......ni mwendo wa kubadilishana ideas na stories....i will take care of every thing.......
Kama Una Sifa Hizi Just Check With Me
1. Mweusi/ Maji Ya Kunde
2. Natural Hair - Kama umeweka mawigi usinitafute - i prefer wale mademu wenye haircut za kishule shule
If you fit the profile....just PM me
ha ha ha mbona umechagua wote wenye M´s,unajua charminglady amechumbiwa...
ha ha ha mbona umechagua wote wenye M´s,unajua charminglady amechumbiwa...
Matchy matchy..Mchimba nae aanzia na M, mirindatamu
afu eti anataka waliokata kata kishule shule uhha ha ha mbona umechagua wote wenye M´s,unajua charminglady amechumbiwa...
ha ha ha hataki kutoa hela ya saloon...afu eti anataka waliokata kata kishule shule uh
ubahili tu unamsumbua
ha ha ha hataki kutoa hela ya saloon...
chezea kitu cha brazilian au kichina yeye mw
enyewe kwanza anakunywa mirinda.
Kaisifia mpaka tamu
ha ha ha hataki kutoa hela ya saloon...
Si ubadilishane ideas hapa tu ndugu mambo makubwa ya nn?
Hello Ladies
Wow its another beautiful saturday....lolz
Serious kama kuna manzi yupo hapa Dar just check me and i will pay u a visit.....but under one condition.....we just meet and talk.....no hard feelings hakuna ku fall in love wala nini......am serious......ni mwendo wa kubadilishana ideas na stories....i will take care of every thing.......
Kama Una Sifa Hizi Just Check With Me
1. Mweusi/ Maji Ya Kunde
2. Natural Hair - Kama umeweka mawigi usinitafute - i prefer wale mademu wenye haircut za kishule shule
If you fit the profile....just PM me
amu hebu mPM kama upo available utapewa maji ukate japo kiu...chezea kitu cha brazilian au kichina yeye mw
enyewe kwanza anakunywa mirinda.
Kaisifia mpaka tamu
ha ha ha unaijua gharama ya brazilian hair wewe amu hebu mpe details huyu...Kwani hizo nywele zilizokatwa kishule shule hazikatwi saloon..??
ha ha Ngalikihinja anazungumzia kukata 300 za kishuleshule afu kuna kukata kwa kina amber roseha ha ha unaijua gharama ya brazilian hair wewe amu hebu mpe details huyu...
ha ha Ngalikihinja anazungumzia kukata 300 za kishuleshule afu kuna kukata kwa kina amber roseha ha ha unaijua gharama ya brazilian hair wewe amu hebu mpe details huyu...