Hii ni kwa ajili yako mwanamke

tinno criss

Senior Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
112
Reaction score
56
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart...[emoji173][emoji173], na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect
 
Only we Engineers are PERFECT.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
9.ukimpata mwenye ujuzi mwingii huwaibia wanawake pesa hapa mjini.
 
Mi nilipata mkaka ana kila kitu mwanamke anachotaka, dushe ya kuua mtu, hela za kutosha, mtanashati, elimu nzuri n.k ila alikua mkimya mpaka anaboa... Alafu ana aibu kishenzi! Kidogo tu kashajifunika, adi kulala alikua analala na boxer. Siku alijifunika shuka nikataka kumfunua nusura nile vibao...
 
Chamsingi nikuomba mwenyezi mungu akupe mwenye kheir na wewe mengine mbwembwe tuu...
 
So listen to your heart... , na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect

Hili ndilo neno haswaa....

Hakuna aliyekamilika kwa hali zote..
Japo namba 4 inanihusu sana.
 
Duh!! Pole sana aiseee
 
Eti wanawake wengine wanapenda wanaume wakorofi kidogo, wapole kidogo, pesa nyingi ila awe na michepuko kidogo, duh wanawake bhana hawajui wanachokitafuta.
 
hahahaaa.... alkuwa mkono wa sweta nn?[emoji12]
 
by the way we don't need full package.. half of it, is enough.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…