Hii ni kutafuta sifa, sio kujenga Chama wala Taifa

Mr Kind

Senior Member
Mar 4, 2017
178
308
Kwa namna mambo yanavyoendelea, ni dhahiri shahiri kwamba tuna kiongozi mtaka sifa wala si mtaka maendeleo

Kazi aifanyayo imekuwa kudhalilisha wenzao na kuwachongea kwa watu.

Anajiona yeye peke yake ndio mwenye uchungu na nchi hii pamoja na maskini wote ila wengine woooooote wako kwa ajili ya kuwanyonya wenzao!!!!!!

Amemaliza kudhalilisha wafanyakazi akahamia kwa wawekezaji, baadae ameenda kwa wabunge na viongozi wa upinzani!

SASA GOMA limehamia CHAMANI, CHAMA KUBWA NA WA KUBWA WAKE SASA FULL KUAIBISHANA!!

BONGO kuwa mwanasiasa inahitaji kujidharau kwanza halafu ujikane nafsi na ujitoe ubongo!! Yaani hakuna utakapopinga mawazo ya mwenyekiti ubaki salama!!!!!!! Si kushoto wala kulia, kote sawa tuuuu!!!

Tehe tehe tehe....... Tanzania ya Viwanda bhana,,, kweli inakuja maana Viwanda vya kutengeneza bidhaa za majungu vinazidi kuongezekana!!!!! Naona hivi ndo vitaleta ajira lukuki!!
 
Chama sharti kiwe safi hayo wengine ni nyongeza. Mlilemaa sasa kazi mnayo
 
Wacha chama chenyewe kimfie tujue moja

Udini na ukabila tuliokawa tunausema hivi sasa jamaa kauhamishia ndan ya chama na serikali
 
Chukueni makamanda hao yanayofavywa na sisiemu leo ni mambo yaliofanywa na kyadema miaka mingi iliopita kipindi mnawafukuza wakina Zitto na sisiemu wakisema zilikuwa ni sifa watakuwa wanakosea? hiyo jeuri yakuwaona sisiemu wanakosea kwa jambo hili hamna huo upande waachieni wenyewe nivyema mkauchuna tu ili msisomeke jinsi mlivyo
 
Mambo ya CCM yamewauma kwelikweli...ukiona umechukua maamuzi na adui yako akaumia jua uko sahihi....
 
Back
Top Bottom