Hii ni kero

Hii ni kero

The Negro

Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
41
Reaction score
21
Wakuu habari zenu....
Ni matumaini yangu mu wazima na buheri wa afya kwa wale wagonjwa ugueni pole.
Dukuduku langu ni juu ya watu wachache humu kwenye jukwaa la elimu, watu hawa hupenda kuponda baadhi ya vyuo na kozi ambazo watoa maada huja kutafuta ushauri humu.
Ushauri wao huwa sio ushauri kabisa bali ni kuvunja moyo,kukatishana tamaa na kubezana,kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kua wengi wa hao watu hawajawahi kukanyaga chuo kikuu,wengine hata diploma hawana,kazi yao ni kupayuka tu na kuwachanganya watu waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu.
Mwisho ningependa kuwaomba wahusika waache hii tabia mara moja,endapo kama unataka ku criticise kozi au chuo cha mtu,ebu toa hoja na sio kuleta wivu wako,na chuki kwa walio kuzidi kisomo.
 
Xana man ndo hvyo wngne hwjui lolte zen mada ukiletwa wnajifnya wnaponda kmbe kaishia certificate na wngne hwna lolote kaz yao ni kukesha humu wkiponda mada za wtu .
Ushaur wngu kwao hatupo ktka zama za ujinga tena ambpo wtu wlitafta umaarufu kwa kuongea mada za kijinga kma hwana kazi baxi watulie waweke yao macho , mm naelewa intalectuals wnabixhana au kukosoana kwa hja na syo kauli chafu au ubishi walioiga kwa wzazi wao ambao hwakukanyaga hta nasari.
 
Pia msiwe mnakosoa course za wngne kwan watu wte hwawzi kusoma sayansi na usijdanganye kwamba we kusoma saysnsi ndo ume wini maisha syo na uanze kutupia wengne matusi kisa kasoma art .
 
Wakuu habari zenu....
Ni matumaini yangu mu wazima na buheri wa afya kwa wale wagonjwa ugueni pole.
Dukuduku langu ni juu ya watu wachache humu kwenye jukwaa la elimu, watu hawa hupenda kuponda baadhi ya vyuo na kozi ambazo watoa maada huja kutafuta ushauri humu.
Ushauri wao huwa sio ushauri kabisa bali ni kuvunja moyo,kukatishana tamaa na kubezana,kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kua wengi wa hao watu hawajawahi kukanyaga chuo kikuu,wengine hata diploma hawana,kazi yao ni kupayuka tu na kuwachanganya watu waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu.
Mwisho ningependa kuwaomba wahusika waache hii tabia mara moja,endapo kama unataka ku criticise kozi au chuo cha mtu,ebu toa hoja na sio kuleta wivu wako,na chuki kwa walio kuzidi kisomo.
Niliisha uliza swali siku moja mwehu akaniuliza eti kama najua kusoma....nika mjibu kwani wewe ni demu unatafuta mume msomi??...Huwa sitaki ujinga kabisa...
 
Xana man ndo hvyo wngne hwjui lolte zen mada ukiletwa wnajifnya wnaponda kmbe kaishia certificate na wngne hwna lolote kaz yao ni kukesha humu wkiponda mada za wtu .
Ushaur wngu kwao hatupo ktka zama za ujinga tena ambpo wtu wlitafta umaarufu kwa kuongea mada za kijinga kma hwana kazi baxi watulie waweke yao macho , mm naelewa intalectuals wnabixhana au kukosoana kwa hja na syo kauli chafu au ubishi walioiga kwa wzazi wao ambao hwakukanyaga hta nasari.
for sure they are boring...
 
Niliisha uliza swali siku moja mwehu akaniuliza eti kama najua kusoma....nika mjibu kwani wewe ni demu unatafuta mume msomi??...Huwa sitaki ujinga kabisa...
huwa wananikasirisha sana,kame wangekua wanakaa karibu yangu tungekua tunaongea mengine
 
Back
Top Bottom