Hii Ni Kali Balaa...

Tanesco jamani wamesababisha ubunifu.. Hatari lakini salama..
 
Si mchezo,
kwa hiyo halikai nje litaibiwa au simu yake haikai na chaji anatembea nalo.
 
nithibitishieni ya kuwa ana-browse mazishi ya kanumba.....................kama mnaweza vinginevyo anatumiana ka-sms na boyfriend wake........lol
 
hii ni kitu cha Arusha plus juice ya molases ambayo imechachuka
 
Jamani nakaonea huruma sana haka kabinti. Lakini kanakwenda na wakati hakapitwi na matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…