Hii ni hospitali ya TAIFA - Muhimbili!

Mkuu hayo ya kawaida huku mikoani ndo usiseme, hakuna karatasi mgonjwa anaandikiwa kwenye karatasi la gloves na inawekwa kwenye file... Maisha yanaendelea!
 
Mkuu Measkron, yaani hata continuation sheets hazipo, imagine NGT(Nasogastric tube) na gloves(clean gloves and not sterile) ndio zinatumika kufungia karatasi za wagonjwa??? zikipotea nani alaumiwe? vifaa navyo vikipotea-kama feeding tubes(NGT) zinatumika??Sijui tunaelekea wapi, kama hii ndio Hospitali ya TAIFA!!!!
 
Ndo hiyo babu, ulikuwa hujawahi kufika nini au unaishangaa kwa kubadilika kwake?? Mzee wa Medical vip??? Achana na masjala, kapige picha za wodin kule!!! Hospital ya Taifa kama Zahanati. Wagonjwa huku mikoani wakiambiwa tunakurefaa Muhimbili, anakujibu kwanin mnata nikafie mbali?? Niachen nifie hapa karibu ili nisiwasumbue kusafirisha maiti. NI HATARI SANA.
 

no, mkuu...MNH home, ni Resident pale MUHAS ila majuzi nimepita kusikia mtoto wa rafiki yangu amelazwa, ndio kuona situation kwa sasa(since strike)!!!na hali ya service ndio worse kuliko hata wakatiw a strike mkuu.
 
Mlivyochagua ccm 2010 mlitegemea nini hayo do majibu na bado miaka 3 mkipewa tena khanga hii nchi itakuwa kama somali
 
Hii ni laana, hivi na hali hii bado ccm inaongoza?
 
Mkuu usisahau na gloves kutumika Kama urinal bag, huku unashikizia na plaster.
 
Na bado, na sasa hivi mmekimbizana kuchukua form za kugombea uongozi UVCCM, mliambiwa msiwachague mkasema mnamchagua Rais kijana, CCM Oyeeeeeeeeeee!
 
Dah.......! hapo wamezidi, kule Zenji wanatumia waya lakini wananunua waya maalum zilizofungwa na kukatwa vzuri na zote ni rangi moja tuuu, tofauti na huku machinjioni Muhimbili.
 
ccm ni janga wakuu.. Wakija wenyewe watasema wewe uliyeleta hii habari ni CDM
 
Na bado, na sasa hivi mmekimbizana kuchukua form za kugombea uongozi UVCCM, mliambiwa msiwachague mkasema mnamchagua Rais kijana, CCM Oyeeeeeeeeeee!
Kumbe ndiyomaana VIONGOZI wanakimbilia kwa Dr.Pateli
 
na ukata huu .....je baada ya vita na malawi si info za mgonjwa daktari atakuwa anaandikia makalioni mwa mgonjwa.....shexxxx kabisa !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…