Hii ni hatari sana

Daaah kama ndo mimi nalala...kwani lazima kwenda shule?
 
Duh unakuta ukifika shule mwalimu anachapa waliochafuka
 
Hii ni kwa seazone flani tu au ndo maisha yao kipindi chore cha mwaka?
 
nani kasema wanaenda shule? hapo m2 mbili inatoroka
 
Hapo ni kwenye pantoni kivukoni kigamboni hawa wanafunzi wanatabia ya kutopitia geti la abiria hivyo wanaona bora wapitie chodo la baharini wasikae kwenye jumba la abiria kusubiri pantoni.
 
Hapo ni kwenye pantoni kivukoni kigamboni hawa wanafunzi wanatabia ya kutopitia geti la abiria hivyo wanaona bora wapitie chodo la baharini wasikae kwenye jumba la abiria kusubiri pantoni.

Haswaa, nakubaliana na wewe
 
Kama kungekuwa na tuzo ya watorokaji bora mimi ningepata shule kuingia saa mbili saa sita naondoka aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…