Hii ni hatari: 80% ya solar panel za Kariakoo ni feki?

Hii ni hatari: 80% ya solar panel za Kariakoo ni feki?

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
936
Nimepata mshtuko mkubwa na mshangao kwenye "Zaidi ya habari ya Channel 10" Ambapo leo maafisa waandamizi wa shirika la viwango TBS wamevamia kariakoo.Kuna solar panel unaambiwa imeandikwa kwa mfano wats 20 kumbe ni nusu ya uwezo wake, mbaya zaidi unaambiwa siku hizi wachina wanazifyatulia hapo hapo kariakoo**.

Tumaini la walala hoi wa vijijini sasa now taabani, uchakachuaji umezidi.

Nani wa kulaumiwa?

Nini kifanyike?
 
Ndio maana ikifika saa saba usiku tu taa zinasinzia!
 
Niliwahi kujiwazia siku1 akilini mwangu, zile bidhaa za umeme jua lazma kuna kamchezo sio bure.
 
Hapo ndipo tulipofikishwa na serikali yenu hii.
Kama waliweza kutoa dawa za ARV fake sembuse solar?!!
 
Basi tujuzeni wenye uzoefu ipi au wapi tutapata panel original?maana hii tanesco si ya kutegemea tena
 
Nimepata mshtuko mkubwa na mshangao kwenye "Zaidi ya habari ya Channel 10" Ambapo leo maafisa waandamizi wa shirika la viwango TBS wamevamia kariakoo.Kuna solar panel unaambiwa imeandikwa kwa mfano wats 20 kumbe ni nusu ya uwezo wake, mbaya zaidi unaambiwa siku hizi wachina wanazifyatulia hapo hapo kariakoo**.

Tumaini la walala hoi wa vijijini sasa now taabani, uchakachuaji umezidi.

Nani wa kulaumiwa?

Nini kifanyike?
Nani wa kulaumiwa? Yaani seriously unataka kuniambia humjui wa kulaumiwa kwa uchakachuaji huu?
Mimi najua cha kufanya tarehe 25/10. Nadumbukiza kikaratasi kwenye box
halafu baada ya kama siku mbili hivi wachakachuaji wote out yaani nje out kabisa!
 
Nimepata mshtuko mkubwa na mshangao kwenye "Zaidi ya habari ya Channel 10" Ambapo leo maafisa waandamizi wa shirika la viwango TBS wamevamia kariakoo.Kuna solar panel unaambiwa imeandikwa kwa mfano wats 20 kumbe ni nusu ya uwezo wake, mbaya zaidi unaambiwa siku hizi wachina wanazifyatulia hapo hapo kariakoo**.

Tumaini la walala hoi wa vijijini sasa now taabani, uchakachuaji umezidi.

Nani wa kulaumiwa?

Nini kifanyike?[/QUOTE

Usijifanye haupo TZ hilo nalo nila kulishangaa! Mbona simu feki hushangai????????

Dawa feki za ARV tena zilitengenezwa Arusha, kiwanda cha kina masabulo (Dr). Dawa hizo zilisambazwa na kutumiwa na wahusika nchini kote! Unashangaa panel!

Hushangai twiga kupanda ndege ya jeshi la nchi ya kigeni. Ndege ya jeshi kwenye nchi huru yenye vyombo vya usalama? Unashangaa nini?

Hushangai, stanbic bank kuvunja sharia na kanuni za fedha za nchi kwa kutoa fedha toka Tegeta Escrow Account (US $ ) kwa mamilioni ndani ya siku 2? Eti unashangaa panel feki kariakoo!

Hushangai, mgombea kuapa kukamata mafisadi wakati yeye mwenyewe na mafisadi wenzie walifisidi nyumba na ma estate ya umma, hushangai, jeuri aliyonayo eti atamkamata boss wake waliyeshirikiana naye kujiuzia nyumba za umma, kwa bei ya kuhesabu matofali yaliyojengewa nyumba hizo( huku kila tofali likiwa na thamani ya TShs 0.50)!

Hushangai samaki, vibua feki toka china, hushangai mayai feki, hushangai ..... hushangai.... yaani we acha tu, HADI HASIRA!
 
Mamlaka ya kuwalinda walaji imeshakufa, ndio maana leo hii zinazalishwa na kuingizwa bidhaa za viwango vya chini.
Mamlaka kama ewura, sumatra wameshikwa na wazalishaji ndio maana wanajiamulia bei bila kumuangalia mlaji.
 
Kariakoo kuna bidhaa gani sio feki mkuu? Labda mboga mboga na viungo tu.
 
Nchi hii kila kitu f@#$ dup! Serikali ndy ya kulaumiwa
 
nenda EGG Solar company wanapanel za ukweli zinabei ila ziko bomba mwanga wake km umeme wa tanesco
 
Basi tujuzeni wenye uzoefu ipi au wapi tutapata panel original?maana hii tanesco si ya kutegemea tena

Mkuu,

Kuna jamaa wanaitwa German Solar Solutions (GSS). Wao wanauza bidhaa za kutoka Ujerumani. naamini bidhaa zao ni original.

Unaweza wacheki kwa namba hii; 0752 162 051.
 
Back
Top Bottom