Yaliyojiri sikukuu ya idd B/F akamualika G/F aende kwake kumtembelea gf akaenda baada ya muda bf akaaga naenda mjini mara moja halafu akatoa mzigo akamwambia usitoke kuna rafiki yangu atafuata huu mzigo ni wa muhimu dada akasubiri subiri na wewe ikafika ucku saa mbili ikabidi aukague huo mzigo akakuta ni machuma na matambara hakuna cha maana alinunaje? Bwana akajirudia saa 6 uck mwenzie ashalala? wakina kaka mwafanyaga hii hv ni halali kweli?

Mama yangu (We Babu Asprin kasema ulintelekezaga nikiwa kichanga......nimekununiaje?)
Umenikumbusha rafiki yangu alikuwaga na ile stac nataka kwa mkaka mmoja ambaye alimfuatiliaga sana masikini. Siku moja kaomba kumtoa out wakenda mziki kwa sana hadi saa tisa usiku. Mkaka akamrudisha dada hostel mara dada haoni ufunguo wa chumba chake. Kaka kamsaidia kutafuta tena akasajesti amsaidie kuvunja na mlango mdada akawa anaogopa atajielezaje kwa matron. Ikabidi mkaka ashauri wakalale kwake (Kaka alikuwa amepanga nyumba mtaani). Kulichojiri huko hatujui ila asubuhi walikuja wakavunja mlango na kubadili kitasa. After a year wameoana mkaka akautoa ule ufunguo uliopoteaga.....................ni historia kwa kweli but now they are happly married .

dah maty..skukuuu niaje kwanza
pole kwa matukio
apo dada amwulize kaka kwa upole kisa kizima cha tukio...lakin kwa araka araka kaka alienda kuparty na mwingne ukoo..
amwulize anamchukuliaje +anamwonaje
--asije AKAWA ANACHUNGA NYUMBA NA MAMA VANESSA!!!!!

sasa alinialika nije nimchungie rafiki atakaekuja kuchukua mzigo? kwnini anielike then yeye atoke?...
jamani mie nlikuwa nasubiri niambiwe eneo la tukio wapi..............ukanchunia mie mwenyewe nlikuwa na hamu ya kukuona acha tu..........Dada hujambo? kumbe ahadi zako ni za kweli tena kweli kabisa cha kunitia hamu ya kusubiri? Faini yako ni kunionjesha babu kidogo
Mama yangu (We Babu Asprin kasema ulintelekezaga nikiwa kichanga......nimekununiaje?)
Umenikumbusha rafiki yangu alikuwaga na ile stac nataka kwa mkaka mmoja ambaye alimfuatiliaga sana masikini. Siku moja kaomba kumtoa out wakenda mziki kwa sana hadi saa tisa usiku. Mkaka akamrudisha dada hostel mara dada haoni ufunguo wa chumba chake. Kaka kamsaidia kutafuta tena akasajesti amsaidie kuvunja na mlango mdada akawa anaogopa atajielezaje kwa matron. Ikabidi mkaka ashauri wakalale kwake (Kaka alikuwa amepanga nyumba mtaani). Kulichojiri huko hatujui ila asubuhi walikuja wakavunja mlango na kubadili kitasa. After a year wameoana mkaka akautoa ule ufunguo uliopoteaga.....................ni historia kwa kweli but now they are happly married .
akitaka drama aulize hayo,ataambiwa mambo ambayo hajawahi kuyackia toka azaliwe...atapumbazika mwisho wa cku matatizo matupu, atumie akili zake za ziada.
dah maty..skukuuu niaje kwanza
pole kwa matukio
apo dada amwulize kaka kwa upole kisa kizima cha tukio...lakin kwa araka araka kaka alienda kuparty na mwingne ukoo..
amwulize anamchukuliaje +anamwonaje
--asije AKAWA ANACHUNGA NYUMBA NA MAMA VANESSA!!!!!
Strategy hii imeenda shule kweli.....!Mama yangu (We Babu Asprin kasema ulintelekezaga nikiwa kichanga......nimekununiaje?)