Maneno izaak
Member
- Jul 18, 2013
- 21
- 1
Mama mzazi,kumchoma moto miguu mwanae wa miaka minne! Et kisa anadhurura hovyo mitaani!
Kuna mtu alimtuma azae kama kulea hawezi!Et anasema anakua kazn na hana mtu wa kumuachia mwanae