M Maneno izaak Member Joined Jul 18, 2013 Posts 21 Reaction score 1 Jul 18, 2013 #1 Mama mzazi,kumchoma moto miguu mwanae wa miaka minne! Et kisa anadhurura hovyo mitaani!
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,367 Jul 19, 2013 #2 Huyo mama ana akili za kiccm. Yaani mtoto wa miaka minne anazurura yeye mama anakuwa wapi?
M Maneno izaak Member Joined Jul 18, 2013 Posts 21 Reaction score 1 Jul 19, 2013 Thread starter #3 Et anasema anakua kazn na hana mtu wa kumuachia mwanae
kisu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 1,090 Reaction score 510 Jul 19, 2013 #4 Maneno izaak said: Et anasema anakua kazn na hana mtu wa kumuachia mwanae Click to expand... Kuna mtu alimtuma azae kama kulea hawezi!
Maneno izaak said: Et anasema anakua kazn na hana mtu wa kumuachia mwanae Click to expand... Kuna mtu alimtuma azae kama kulea hawezi!