watu wa humu ndani bana,mara wewe mwanaume mara wewe mwanamke.......arghhhhhhh
Umenichukulia maneno mdomoni!!
Mliikutanisha?!
Umeanza uchokozi wako Lizzy! Aika rua!!
Nataka kujua alivyokuchukulia ili na mimi niwe namchukulia mtu!!Obheja Nz.....!
Unataka uwe unamchukulia huyo Obheja Nz....?
Labda......
Una hisa hapo?!
Nimewekeza vilivyo. Mia.
Basi nisaidie nipewe ujanja!!
Nitumie PM. Mia
Sina pesa ya stempu!
Umefulia
Nisuuze...ukimaliza nianike!!
Sijasema nimekufua
Kwa vyovyote vile hiyo isingewezekana kwasababu mimi sio chuma...